Trump asema kuchukua nyenzo za nyuklia za Iran si jambo la lazima
đšRais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa kuchukua nyenzo za nyuklia za Iran si lazima. Kauli hiyo aliitoa katika mahojiano aliyofanya usiku uliopita na kituo cha habari cha Fox News.
đšKatika mahojiano hayo, Trump alieleza mawazo mbalimbali, baadhi yake yakionekana kutofautiana, kuhusu suala la kuchukuliwa kwa urani iliyorutubishwa ya Iranâambayo wakati mwingine huirejelea kwa jina la âvumbi la nyukliaâ.




