Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, amesema kuwa Iran inaonyesha kuwa na uwezo na nguvu kubwa kuliko inavyokadiriwa mara nyingi na jamii ya kimataifa. Kauli hiyo ilitolewa katika mkutano wa viongozi wa Umoja wa Ulaya.Merz alisema kuwa katika mazungumzo yanayoendelea kati ya Marekani na Iran, chini ya usuluhishi wa Pakistan, hakuna nchi iliyoonyesha upinzani kuhusu uwezekano wa kupunguza vikwazo dhidi ya Iran endapo Tehran itaonyesha utayari wa kutoa masharti au ustahiki unaotakiwa katika mazungumzo hayo.Aidha, Kansela huyo alieleza kuwa suala la kupunguza vikwazo kwa utaratibu wa hatua kwa hatua limejadiliwa kama sehemu ya mpango wa masharti maalum unaoweza kutumika iwapo pande husika zitafikia makubaliano.
Blog
-

Sheikh Naim: Iran, Mhusika Muhimu Katika Kusitishwa kwa Mapigano Lebanon
Katibu Mkuu wa Hezb nchini Lebanon, Sheikh Naim Qassem, amesema kuwa usitishwaji wa mapigano nchini humo usingewezekana bila ushiriki wa Iran katika mazungumzo yaliyofanyika nchini Pakistan. Akizungumza kuhusu mchango wa Iran katika jitihada za amani, Sheikh Qassem alisema kuwa “kama Jamhuri ya Kiislamu ya Iran isingekuwepo katika mazungumzo hayo, baada ya ushujaa na uvumilivu wa wananchi na wapiganaji wa Lebanon, kusingepatikana makubaliano ya kusitisha vita.” Aliongeza kuwa serikali ya Lebanon haikupaswa kuchukua msimamo wa hasira dhidi ya hatua ya kusitisha vita, akisisitiza kwamba “hakuna mamlaka yoyote nje ya Lebanon yenye haki ya kuweka masharti kwa nchi hii.” Kuhusu mashambulizi yaliyojulikana kama “Jumatano Nyeusi”, Sheikh Qassem alibainisha kuwa adui alifanya mashambulizi zaidi ya 200 ndani ya dakika 10 na kusababisha vifo vya mamia ya raia wasiokuwa na hatia, kisha kudai kuwa serikali ya Lebanon haina dhamira ya kusitisha mapigano. Aidha, alikosoa hatua ya serikali kukutana moja kwa moja na maofisa wa Marekani mjini Washington, akisema siku hiyo ilikuwa “ya fedheha kwa taifa.” Qassem alisema makubaliano yaliyopatikana yalikuwa ya upande mmoja, yakiiwezesha Israel kuendelea na mashambulizi yake huku yakilipachika kundi la wapiganaji wanaolinda Lebanon jina la “waasi”. Sheikh Qassem alihitimisha kwa kuuliza, “Je, serikali ya Lebanon inasimama upande wa adui?”
-

Ushawishi wa Uzayuni kwenye vyombo vya habari
Joseph Pulitzer ni mmoja wa waanzilishi mashuhuri wa Kiyahudi wa vyombo vya habari vya kisasa vya Amerika. Alizaliwa katika familia ya Kiyahudi huko nchini Hungaria, na baada ya kuhamia Marekani mnamo mwaka wa 1878 alichapisha jarida kwa jina la St. Louis Post Dispatch na mnamo mwaka wa 1883 alinunua gazeti maarufu la Marekani la wakati huo linalojulikana kama New York World. Tangu wakati huo, matoleo mawili yamekua yakionyeshwa kwenye soko la habari mara mbili kwa siku, toleo moja asubuhi na jengine jioni.
Vilevile chapisho la kwanza lililotolewa nchini Marekani lilifahamika kwa jina la Wazayuni, Gazeti hili lililokua na jina la ‘The Watchtower of Zionism’ ambalo lilianzishwa na mfanyabiashara Myahudi aitwaye Charles Tarzsell. Alianzisha vuguvugu ambalo baadaye lilijulikana kama “Mashahidi wa Kiyahudi.”
Ushawishi wa Kiyahudi katika vyombo vya habari vya uchapishaji vya Marekani umekithiri kiasi ambacho zaidi ya magazeti mia moja ya Kiyahudi ya kila siku na kila wiki yanachapishwa nchini Marekani hivi leo.
Hii inathibitisha kwamba udhibiti wa Wayahudi wa vyombo vya habari nchini Marekani umekuwa sehemu ya uhakika katika maisha ya Marekani.
Nguvu na ushawishi wa Wazayuni katika vyombo vya habari vya Marekani huamuliwa kwa kuchunguza utendaji wa magazeti matatu mashuhuri ya Marekani: Wall Street Journal, New York Times, na Washington Post. Magazeti haya matatu yana ushawishi mkubwa kwenye siasa na serikali ya Amerika, na kwa vitendo huamua sera ya siasa na uchumi wa Amerika. Wao ndio hutoa uamuzi wa kinachostahiki kua Habari na kisichokuwa habari. Magazeti haya matatu ni waandishi wa habari na mengine ni nakala za habari tu. Magazeti yote matatu yako mikononi mwa Wayahudi.
[1] Joseph Pulitzer.
[2] St. Louis Post-Dispatch
[3] The New York World
[4] . Watchtower Zionism
[5] Jewish Witnesses
[6] Majid Safataj, Zionism and Media (Uzayuni na vyombo vya Habari), uk. 50 na 51.



